Uchaguzi Mkuu TZ : Kampeni zaanza rasmi
Siku 90 za kampeni zimeng'oa nanga rasmi nchini Tanzania huku mgombea wa chama tawala CCM - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni yake ya kwanza jijijini Dar es Salaam.
Na huku Uchaguzi mkuu ukinukia, aliyekuwa mpeperusha bendera wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina na wanachama wengine wakiwa mjini Dar es Salaam wamesikiliza kesi iliyofunguliwa mahakamani DODOMA ambapo wamepewa siku tano kuishawishi mahakama kuridhia ombi lao?
Je, mahakama itampa nafasi ya kuendeleza ndoto yake ama itaizima?
@RoncliffeOdit anaangazia suala hili kwa kina mubashara usiku wa leo katika DIra ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili.
#bbcswahili #dirayaduniatv #diratv
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
28 Aug 2025
- The tournament ends this weekend with a showdown between Morocco and Madagascar.
28 Aug 2025
- The Nairobi County government will also take immediate legal action against the individuals.
28 Aug 2025
- The warning comes as some Kenyans continue to battle persistent coughs, occasional sneezing, and a runny nose.
29 Aug 2025
- Wiper Liberation Front leader Kalonzo Musyoka was forced to cut short his tour of Tharaka constituency on Thursday as pro-government supporters chanting pro-government slogans disrupted the meeting.
29 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has called for a structural reform aimed at enhancing financial accountability in Kenya’s public
29 Aug 2025
- CS Duale said the Ministry of Health was in the process of a nationwide crackdown on fraud in Kenya’s healthcare sector and warned that hospitals, patients, doctors, and any other offenders would face the full force of the law if found culpable.
29 Aug 2025
- Karura Forest Has Adopted a New Payment Model Effective Friday, August 29, 2025, in Line with the Government
29 Aug 2025
- Governors in the dock: DPP targets Barchok, Wangamati in multi-million graft cases
29 Aug 2025
- No prayer days or prize-givings: Ministry bans social activities ahead of national exams
29 Aug 2025
- Bonnie Mwangi is running for Prezzo, so I might have friends in high places
29 Aug 2025
- Duale under fire: Kenyans demand accountability in Sh104B SHA scam
29 Aug 2025
- Farewell to a boyhood when the village teemed with life and some swag
29 Aug 2025
- Family's agony after kin's sudden Saudi burial without their consent