Skip to main content
Skip to main content

Wajane wakongamana katika eneo la Lwanya kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 3:19
    Wajane katika kaunti ya Busia wanawarai wadau wa kilimo kuwapa mafunzo kuhusu kustawisha kilimo biashara ili kujichumia riziki. wajane wengi katika kaunti ya Busia wanataabika kwa kukosa uwezo wa kujitegemea kiuchumi kwa kukosa ujuzi wa kilimo licha yao kuwa na mashamba yenye rotuba...