Spongecake, Donut na Mocha ni paka ambao wangeuka kuwa watalii. Raia mmoja kutoka Marekani ameangazia maisha ya paka hawa katika mtandao wa TitTok. Paka hawa wanaweza kusafiri kwa muda mrefu bila usumbufu wa aina yoyote ile kutokana na mafunzo wanayoyapata.
Lakini unapofikiria kusafiri na wanyama vipenzi tafadhali kuwasiliana na daktari wa wanyama kwanza.
#bbcswahili #Marekani #wanyama
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.