Skip to main content
Skip to main content

'Msamaha' kwa walioandamana

  • | BBC Swahili
    65,758 views
    Duration: 1:17
    Rais Samia ameielekeza pia ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kuchambua mashitaka yanayowakabili watuhumiwa wa machafuko hayo na aidha kuwapunguzia mashitaka ama kuwaondolea kabisa wale watakaobainika kufanya makosa hayo kwa kufata mkumbo. - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #raissamia #siasa #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw