Kesi zingine 8 kuhusu uchaguzi wa urais zawasilishwa mahakamani

  • | NTV Video
    5,938 views

    Mbali na kesi iliyowasilishwa na Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua, mbele ya mahakama ya juu zaidi, kesi zingine nane zimewasilishwa huko, nyingi kati yazo zikiwa na maombi yanayofanana. Mojawapo ni kuitaka mahakama hiyo kubatilisha kutangazwa kwa William Ruto kama rais mteule huku wawasilishaji wakimnyooshea kidole cha lawama Wafula Chebukati kwa kutofuata sheria za uchaguzi katika kutangaza ushindi huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya