Kikosi cha wachezaji chipukizi wa voliboli ya ufuoni kitakachowakilisha Kenya kwenye Mashindano ya "4th bara Afrika yatakayofanyika Angola disemba10 kimepata fursa ya kuboresha mazoezi yake baada ya ufunguzi wa uwanja mpya katika Shule ya Upili ya Sang'alo, Kaunti ya Nandi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya