- 36,859 viewsDuration: 5:34Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za kibinadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza Rais wa Tanzania, na serikali yake kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu unaodaiwa kufanywa wakati wa uchaguzi Mkuu wa hivi karibuni. Waraka wa ombi kwa ICC unamtuhumu Rais Samia Suhulu Hassan na maafisa wengine wa ngazi za juu kwa kuhusishwa moja kwa moja na vifo vya raia wakati wa maandamano ya baada ya uchaguzi. #DiraYaDuniaTV