Hashim Rungwe: ''Mataifa mengine yafuate mfano wa taifa la Kenya''

  • | BBC Swahili
    2,092 views
    Mwanasiasa mkongwe wa Tanzania Hashim Rungwe amelisifu taifa la Kenya kwa kuonyesha upevu kwa jinsi walivyoendesha uchaguzi wao na kuonyesha demokrasia na kuyarai mataifa mengi kuliiga taifa la Kenya. Video : Eagan Salla #kenya #bbcswahili #Tanzania