3 Dec 2025 10:10 am | Citizen TV 406 views Duration: 2:10 Wanawake walio kwenye sekta ya uvuvi eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wamedaiwa kunyanyaswa kimapaenzi na baadhi ya wavuvi kabla ya kuuziwa samaki wa biashara