- 150 viewsDuration: 2:09Huku ulimwengu ukiendeleza kampeni ya siku 16 dhidi ya ukatili wa kijinsia, wadau mbalimbali mjini Kilifi wameanzisha mpango wa kuhamasisha wahudumu wa bodaboda mjini humo ili wajiunge kwenye vita dhidi ya ukatili wa kijinsia.