- 160 viewsDuration: 1:46Ukosefu wa vifaa maalum vya walemavu vinavyowasaidia kuweka siri yao wakati wanapopiga kura ndiyo changamoto kuu iliyonakiliwa katika chaguzi ndogo kwenye baadhi ya maeneno nchini. Haya ni kwa mujibu wa waangalizi wa Uchaguzi mdogo katika wadi ya Kabuchai/Chwele katika kaunti ya Bungoma wa kikundi cha Inuka chini ya Angaza kura initiative ambao wanasema kuwa walemavu walikuwa na wakati mgumu kushiriki kwenye shughuli hiyo