- 9,577 viewsDuration: 2:03Viongozi na wamiliki wa mifugo kaunti ya Isiolo wameitaka kamati ya usalama ya kaunti kuhakikisha kuwa wafugaji kutoka Samburu wanaoingia eneo la malisho la chari wameondolewa ndani ya siku mbili zijazo, kufuatia makabiliano yaliyosababisha vifo vya polisi wawili wa akiba na kumjeruhi mwingine jumapili alasiri