3 Dec 2025 10:44 am | Citizen TV 230 views Duration: 1:41 Vikundi vya akina mama takribani 50 vimenufaika na mradi wa kuku katika kaunti ya Uasin Gishu unaofadhiliwa na mwakilishi wa kike wa kaunti hiyo Gladys Boss.