- 436 viewsDuration: 2:20Kauli mpya kutoka kwa kaimu Balozi wa Uingereza nchini Kenya, Dkt. Barnet, imezua matumaini mapya kwa jamii ya Talai katika Kaunti ya Nandi kufuatia madai yao ya muda mrefu ya fidia kutokana na madhila waliyopitia chini ya utawala wa kikoloni wa Uingereza.