- 664 viewsDuration: 1:07Gavana wa kaunti ya Mandera Mohamed Khalif ameelezea wasiwasi wake kuhusu ukame mkubwa ambao umeanza kuwaathiri wakazi katika kaunti hiyo .Akizungumza baada ya kuongoza mkutano wa Baraza la Mawaziri wa kaunti hiyo, Gavana Khalif alisema kuwa maelfu ya wenyeji wako kwenye hatari ya kukosa chakula na mahitaji mengine ya msingi.