- 904 viewsDuration: 2:02Kikundi cha waangalizi wa uchaguzi (ELOG) kimenyoshea kidole cha lawama maafisa wa IEBC kwa kukosa kuwachukulia hatua wagombeaji waliojihusisha na uvunjaji wa taratibu za uchaguzi. Pia wamewakashifu maafisa wa serikalini waliotumika katika uchaguzi huo wakisema ni kinyume cha sheria. Katika ripoti yao ya mwisho kuhusiana na uchaguzi mdogo uliokamiliaka, ELOG imetaja kuwepo ghasia, kuhongwa kwa wapigakura huku fujo zikitumika maeneo mengine kuwaogofya wapigakura