Skip to main content
Skip to main content

Chama cha DCP chawapokea washindi wa chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    7,638 views
    Duration: 2:07
    Viongozi wa chama cha DCP wanasema chaguzi ndogo zilizopita zilidhihirisha kuwa chama hicho ni cha kitaifa na wala si cha eneo moja. akiwapokea washindi wa viti vya uwakilishi wadi wa chama hicho , kirana wa DCP Rigathi Gachagua ameeleza kuwa muungano wa upinzani umejipanga kushinda uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.