3 Dec 2025 1:16 pm | Citizen TV 211 views Duration: 3:48 Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani, watu wenye ulemavu wanataka Haki zao zizingatiwe zikiwemo Usalama, afya , Elimu Bora na Mazingira mazuri ya kufanyia kazi zao za kila siku