- 982 viewsDuration: 1:33Wanaharakati kutoka eneo la Pwani wamelalamikia muda mrefu ambao ujenzi wa barabara ya Mombasa-Malindi haswa kati ya eneo la Kengeleni hadi Mtwapa umechukua, wakisema unawapa hasara wakazi na kuhatarisha maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya