Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha Mauripol huku mapigano yakiendelea maeneo mengine ya nchi.
Zaidi ya wapiganaji 250 wa Ukraine walijisalimisha kwa majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma cha Azovstal huko Mariupol na Kyiv imesema imeamuru wanajeshi wote kuondolewa , na kuelezea ni mwisho wa mapambano makubwa ya umwagaji damu Ulaya katika miongo kadhaa.
............
Kundi la wanawake la Beadwork kutoka jimbo la Samburu limeanza zoezi la kuwafunza wanawake njia mbadala za kujikidhi kimaisha baada ya mabadiliko ya hali ya hewa kuathiri maisha ya wakaazi wengi. Kundi la beadwork huwafunza wanawake hawa kutengeneza shanga na mapambo mengine na kuuza vito hivyo kisha kutumia pesa wanazopata kuendeleza mikakati ya kuhifadhi mazingira pamoja na kuendeleza maisha yao.
.........
Hemophilia ni tatizo la kiafya ambapo uwezo wa damu kuganda katika mwili wa mtu huwa ni mdogo sana na kusababisha mgonjwa kuvuja damu nyingi kutokana na kuumia na wakati mwngine bila hata sababu yoyote. Ni ugonjwa wa aina yake wa kurithi ama wakati mwingine kuanza ghafla kwa mtoto aliyezaliwa wataalam wanaitwa mutation.
4 May 2024
- The stalemate between the government and doctors is set to continue, with a new twist emerging on Friday.
4 May 2024
- The government listed the 50 landlords and issued a way forward for the compensation for the interested parties.
4 May 2024
- The governor also offered clarity on where the money came from and how it was used.
4 May 2024
- US President Joe Biden took pointed digs at election rival Donald Trump Friday as he awarded the country's top civilian honor to Democratic allies including former House speaker Nancy Pelosi and vice president Al Gore.
4 May 2024
- The stalemate between the government and doctors is set to continue, with a new twist emerging on Friday.
4 May 2024
- Reading Time: 2 minutes Raila Odinga, the leader of the Azimio la Umoja coalition, has found himself at odds with politicians aligned with the […]
4 May 2024
- The government listed the 50 landlords and issued a way forward for the compensation for the interested parties.
4 May 2024
- Losses, and despair as rains continue to wreak havoc on locals.
4 May 2024
- Indian cartoonist Rachita Taneja and Hong Kong's Zunzi were awarded the biennial Kofi Annan Courage in Cartooning Award on Friday, which is International Press Freedom Day.
4 May 2024
- Busia Governor Paul Otuoma has called upon climate change partners to ensure that funds are directed towards supporting grassroots communities. Addressing flood victims in Bunyala South Ward on Thursday, Otuoma expressed concern over the allocation of…
4 May 2024
- The deal seeks to tame ethnic clashes at the Kisumu-Kericho border, which has led to loss of lives and property in the recent past.
4 May 2024
- Biden: All jailed journalists should be released
4 May 2024
- Nigeria gunmen kill 25 in raids on northwest villages