- 354 viewsDuration: 1:51Huku hamasisho ya siku 16 dhidi ya dhulma za kijinsia inapoendelea, washikadau wa haki za akina mama na Washichana Kaunti ya Narok wameibua hofu kutokana ongezeko la dhulma kupitia mitandao ya dijitali walengwa wakiwa wanawake na wasichana.