Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet yatoa chanjo ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

  • | Citizen TV
    179 views
    Duration: 1:23
    Wafugaji katika Kaunti Ya Elgeyo Marakwet wametakiwa kuchanja mifugo wao dhidi ya ugonjwa wa mdomo na miguu pamoja na ugonjwa wa homa ya kichochi ya mbuzi na kondoo Ili kuepuka hasara zinazotokana na milipuko Ya magonjwa Hayo.