- 220 viewsDuration: 3:54Viongozi katika kaunti ya Busia wametakiwa kuzingatia kuwainua kiuchumi akina mama walio kwenye makundi nyanjani kama nguzo ya jamii ili kukabili uchochole ..Changamoto imetolewa kwa wanasiasa wanaotumia mabilioni ya pesa katika kampeni kutowapuuza akina mama wenye maono ambao hawana uwezo kifedha....