Skip to main content
Skip to main content

Mwenge wa Kaunti | Zimwi la ufisadi [ Part 3]

  • | Citizen TV
    359 views
    Duration: 28:22
    Leo ni siku ya kimataifa ya vita dhidi ya ufisadi. Tunaangazia athari za ufisadi kwa ustawi wa taifa. Je, ufisadi unaweza kumalizwa kabisa nchini? Taifa hupoteza mabilioni ya pesa kwa ufisadi. EACC: Wafanyakazi wengi wa serikali wana vyeti ghushi. Tume ya kupambana na ufisadi yataka mamlaka zaidi EACC inachunguza mashirika kadhaa ya umma. EACC: Tume imeokoa zaidi ya ksh 16.4 za ufisadi.