- 344 viewsDuration: 3:57Idara ya afya ya kaunti ya Tana River imetoa takwimu zinazoonyesha kuwa asilimia hamsini ya wanawake wajawazito hujifungulia nyumbani katika kijiji cha Sombo eneo bunge la Bura. Mojawapo ya sababu zinazochangia hali hii ni mila potovu ya ukeketaji.