- 380 viewsDuration: 1:53Wakazi wa Miungoni eneobunge la Lungalunga kaunti ya Kwale wameandamana wakishinikiza serikali kutekeleza ripoti ya bunge ya mwaka jana iliopendekeza kugawanywa kwa ardhi inayozozaniwa na wakazi na mwekezaji mmoja wa kibinafsi eneo hilo.