9 Dec 2025 1:17 pm | Citizen TV 13,143 views Duration: 41s Hali inaendelea kuwa tete nchini Tanzania, maandamano yakishuhudiwa katika maeneo kadhaa nchini humo, baadhi ya raia wakijitokeza na mabango ya kutaka mageuzi ya uongozi.