Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya tamasha ya Ateker yakamilika Turkana

  • | Citizen TV
    298 views
    Duration: 1:59
    Tamasha ya Sherehe za kitamaduni ya jamii ya Turkana ya awamu ya tisa maaruf 'Tobong'lore', inatarajiwa kuandaliwa tarehe15 mwezi huu Hadi tarehe 18,ambapo jamii ya Ateker inayojumuisha Turkana ya Kenya, Karamoja ya Uganda, Toposa ya Sudan Kusini na Nyang'atom ya Ethiopia zinatarajiwa kwenye Tamasha hiyo