Skip to main content
Skip to main content

Wakazi washauriwa kuungana kwenye vikundi wapate mikopo huko Busia

  • | Citizen TV
    455 views
    Duration: 3:50
    Hulka ya wenyeji wa kaunti ya Busia ya kutotilia maanani swala la akipa na mikopo limetajwa kama sababu moja ya umasikini katika maeneo mengi ya mpakani. .. Waziri wa biashara na viwanda wa Busia Olakachuna Omuse amesikitika kuwa licha ya serikali hiyo kuanzisha vyama 35 katika wadi zote za Busia, baadhi ya wakazi hawajajiunga katika makundi ili kunufaika...