- 11,207 viewsDuration: 2:47Ripoti ya upasuaji wa maiti ya msichana wa miaka 12 aliyepatikana ameuawa eneo la Embakasi jumamosi iliyopita imeonyesha kuwa alidhulumiwa na kubakwa kabla ya kunyongwa. Upasuaji huo ukionyesha kuwa mwili wa Patience Mumbe ulikuwa na majeraha mengi kichwani na hata mwilini