9 Dec 2025 7:56 pm | Citizen TV 1,153 views Duration: 2:25 Wakazi wa kijiji cha Ratta kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya mashamba yao kuvamiwa na nyani. Mali ya thamani sasa inaozea shambani, kwani nyani hao wanapura baadhi ya mimea na kusababisha uharibifu