- 1,336 viewsDuration: 1:04Rais William Ruto amesisitiza kwamba Hazina mpya ya Miundomsingi itakuwa tayari wiki hii, akionekana kupuuza madai ya upinzani kukashifu hazina hiyo na mipango ya ufadhili wake kupitia uuzaji wa hisa za Kampuni ya Safaricom.