9 Dec 2025 8:00 pm | Citizen TV 3,192 views Duration: 56s Mamlaka ya usalama barabarani NTSA, imewapokonya leseni madereva 62 wa magari ya usafiri wa umma na kuwaagiza wafanye upya mtihani wa udereva