- 92 viewsWaziri wa usalama Kipchumba Murkomen na Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja wamewapongeza maafisa wa polisi waliokuwa Haiti kudumisha amani. Kulingana na murkomen, kesha ina jukumu la umoja wa mataifa la kutuma vikosi vyake kudumisha amani katika mataifa yenye ghasia. Maafisa hao 230 waliwasili juzi kutoka nchini Haiti.