10 Dec 2025 1:09 pm | Citizen TV 26 views Kaunti ya Wajir imeanza kuona matokeo ya juhudi za muda mrefu za kupiga vita mfumo tata wa Maslah, unaotumika kusuluhisha kesi za ukatili wa kijinsia nje ya mfumo rasmi wa sheria