Skip to main content
Skip to main content

Wawakilishi wadi wahofia usalama kwenye majengo ya bunge Busia

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:56
    Wawakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Busia pamoja na kaimu karani wa bunge hilo gabriel erambo wametaka usalama uimarishwe kwenye majengo ya bunge hilo, siku chache tu baada ya mlango wa ofisi ya karani huyo kuvunjwa na kubadilishwa na watu wasiojulikana.