10 Dec 2025 1:42 pm | Citizen TV 493 views Duration: 1:18 Kucheleweshwa kwa migao ya kaunti kutoka kwa serikali kuu kumeathiri pakubwa huduma kwa wakenya, na serikali inafaa kuhakikisha fedha zilizoahidiwa kunti zimefika kwa wakati unaofaa.