Skip to main content
Skip to main content

Mamlaka ya kudhibiti mashirika ya umma yazindua chapa mpya

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 1:48
    Katika hatua ya kulainisha sekta ya mashirika yasiyo ya serikali nchini, serikali imebadilisha rasmi jina la Mamlaka ya Udhibiti wa Mashirika ya Manufaa ya Umma (PBORA), ambayo hapo awali ilikuwa Bodi ya Uratibu wa NGOs.