10 Dec 2025 1:33 pm | Citizen TV 291 views Duration: 2:46 Ni afueni Kwa wagonjwa zaidi ya 2,000 Katika eneo la Lugulu Kule Webuye baada ya hospitali ya kimisheni ya Lugulu kuzindua chumba kipya cha upasuaji.