10 Dec 2025 1:45 pm | Citizen TV 313 views Duration: 3:10 Ni afueni kwa wakazi wa Kilepoi Samburu kaskazini baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji eneo hilo. Mradi huo unanuiwa kuzima uhasama unaosababishwa na uhaba wa maji miongoni mwa wafugaji.