- 6,713 viewsDuration: 1:08Mwanahabari na mshauri wa mawasiliano ya kidijitali Willis Raburu amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya kampuni mbili akidai kulipwa shilingi milioni 10 kufuatia madai ya uvunjaji wa mkataba kuhusiana na Tamasha ya Furaha City iliyofanyika Desemba 2024.