- 478 viewsDuration: 3:15Walezi na wazazi wa watu wanaoishi na changamoto za ulemavu wakiwemo wazee katika katika kaunti ya Busia wamelalamikia kupuuzwa na jamii na kuachiwa mzigo wa elimu na malezi ya watu hao wenye mahitaji maalum. Walezi hao wamesikitika kuwa kwa muda mrefu, walemavu wamedharauliwa na kutengwa licha ya katiba kuwatambua na hata kutenga fedha za kuwasitiri maishani