Skip to main content
Skip to main content

Mawaziri kuidhinisha hazina ya miundo mbinu Jumatatu

  • | KBC Video
    521 views
    Duration: 5:05
    Wakenya walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa michezo wa Nyayo kuadhimisha miaka 62 tangu Kenya kujinyakulia uhuru kutoka kwa wakoloni. Wengi walikuwa na matarajio si haba kuhusu hotuba ya Rais wakitazamia kwamba angezungumzia masuala kuhusu maendeleo ya vijana, umoja wa kitaifa na ustawi wa uchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive