MICHEZO AFRIKA: Tatizo la afya ya uzazi linalowakabili wengi la Fibroids

  • | BBC Swahili
    354 views
    Jamii nyingi Afrika ni mwiko kulizungumzia tatizo la kiafya ya uzazi la Fibroids yaani uvimbe kwenye mfuko wa uzazi. Muongeleaji mmoja mashuhuri ambaye ameiwakilisha Tanzania katika olimpiki mara tatu Magdalena Moshi amejipata na tatizo hilo ambalo na sasa ameiomba jamii kulizungumzia tatiizo hilo waziwazi. #bbcswahili #michezoafrika #tanzania