- 35 viewsDuration: 1:53Wito wa kufanywa kwa mageuzi ya dharura katika sekta ya madini hapa nchini unaendelea kushika kasi, huku wahandisi wakieleza wasiwasi kuwa utajiri wa madini wa nchi hii unanufaisha raia wa kigeni kuliko wa humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive