Sekta ya uchimbaji wa madini ya fluorspar nchini Kenya inatarajiwa kuimarika baada ya kutiwa saini kwa mkataba wa uhandisi, ununuzi na ujenzi, kwa ajili ya kukarabati kiwanda cha utayarishaji madini hayo kilichoko katika eneo la Bonde la Kerio, Kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive