- 161 viewsDuration: 2:01Jamii ya Samburu imenufaika pakubwa kutokana na hifadhi ya ndovu ya Reteti iliyoko mashariki mwa kaunti ya Samburu ambayo imekuwa kitega uchumi na chanzo cha ajira kwa wakazi wa eneo hilo. Russia Lenanyokie ambaye ni mlezi katika hifadhi ya Reteti, anasema kuwa hifadhi hiyo imeajiri wafanyikazi 120 na kuinua kiuchumi wa zaidi ya wanawake 250 ambao wanafanya biashara ya maziwa ya mbuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive