Skip to main content
Skip to main content

Ajali ya Chabera yaua watu 10 barabara Kisii-Kisumu chini ya saa 24

  • | TV 47
    616 views
    Duration: 2:10
    Watu 10 wamefariki dunia katika ajali ya Chabera iliyotokea barabara ya Kisii kuelekea Kisumu. Ajali hii ilihusisha malori mawili na matatu moja. Ajali hii imetokea chini ya saa 24. Hii ni baada ya ajali nyingine kuua watu 8. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __