Timu ya 42 ya China ya Msafara wa Utafiti wa Antaktika imeanza kushusha vifaa vya utafiti wa kisayansi baada ya kuwasili karibu na Kituo cha Zhongshan. Operesheni hiyo inaendelea kwa msaada wa meli maalum za kuvunja barafu, Xuelong na Xuelong 2, kama sehemu ya safari ya miezi saba ya utafiti. Maelezo kamili ni katika Makala yetu ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive