Skip to main content
Skip to main content

Mfugaji akadiria hasara ya mamilioni baada ya ngamia wake 14 kuuawa katika ajali ya barabarani

  • | NTV Video
    792 views
    Duration: 1:41
    Mfugaji mmoja wa mifugo katika kaunti ya Kajiado ameachwa akikadiria hasara ya mamilioni ya fedha baada ya ngamia wake 14 kuuawa katika ajali ya barabarani usiku wa jana kwenye barabara kuu ya Namanga-Nairobi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya